Rais
wa Zambia, Michael Sata, amefariki Dunia.huko nchini Uingereza alipokwenda
kwenye matibabu.................
Rais
huyo mwenye umri wa miaka 77, amefariki kwenye Hospital ya King Edward VII.
Kwa
sasa nafasi ya Rais huyo imeshikwa na waziri wan chi hiyo kwa muda bwana Edger
Lungu, ambaye kwa hivi karibu alikuwa kaimu rais ama makamu wa rais.
0 maoni:
Post a Comment