Msanii
wa Music nchini Tanzania, Ambwene Yesaya-AY, kwa sasa yupo nchini Marekani,
kwaajili ya Kushoot video ya wimbo wake mpya aliofanya na msanii wa nchini humo,
Sean Kingston na Ms Triniti................
Kupitia
kurasa yake ya Instagram, AY, ameweka
Picha Ya msanii mmoja aliyefanya naye ngoma ambaye si mwengime bali ni Sean
Kingston, na hiki ndicho alichokiandika kupitia ukurasa wake
“‘Bongo Flava we’ve arrived to
Hollywood Hills…I’ll tell u later what m doin here with @seankingston#TANZANIA #Jamaica
.#SeanKingston and #Ms.Trinity #poker #musicvideo |
Nice AY |
.#Repost from @producerriley with @repostapp — Tanzanians best AY and I shooting a video for the next single. Looking for our second #1 video in Africa !! #africa #ay #tanzania #seankingston #mstriniti |
0 maoni:
Post a Comment