TUMIA DAKIKA ZAKO KUCHEKI HUYO JAMAA ALIYEJIBADILIHA JINSIA NA KUWA MWANAMKE.
Mahakama Kuu nchini Kenya imeliamuru Baraza la mitihani la Taifa, kubadilisha majina katika vyeti vya mitihani vya elimu ya juu vya Andrew Mbugua na kuwa Audrey Mbugua, chini ya siku arubaini baada ya mtu huyo kubadilisha jinsia bila kuonesha jinsia yake kama ni mwanaume au mwanamke.....[VIDEO]..........
kutoka BBC.
0 maoni:
Post a Comment