Jengo
la Machinga Complex, limepata majanga ya moja mida ya saa 8 mchana, maeneo ya
ilala jijini Dar es salaam, kwa taarifa za hawali hakuna mtu ata mmoja
aliyepoteza maisha................................
Lakini
muda mfupi watu na viongozi wa jingo hilo
walifanikiwa kuuzima moto huo, ambao chanzo chake hakikufahamika kwa mara moja
kutoka na kila mtu alikuwa katika mishe mishe za uzimaji wa moto huo.
0 maoni:
Post a Comment