Msanii
wa Hip Hop, nchini Young Killer, amesogeza mbele siku ya kuitoa video yake mpya
kufuatia taarifa za kifo cha msanii wa muziki huo Geez Mabovu, kilichotokea hapo
jana usiku na mazishi yake ni leo................
Kupitia
ukurasa wake wa instagram, Young killer, alifunguka na kusema “Video hiyo
itaachiwa ijumaa ijayo.”
0 maoni:
Post a Comment