Mkali
wa Muziki wa Hip Hop nchini Tanzania, Profesaa Jay, ameamua kuingia rasmi
kwenye jukwaa la Siasa kupitia chama cha CHADEMA................
Kupitia
Ukurasa wake wa Instagram, ameweka picha zilimuonesha akiwa na wadau wa chama
hicho katika mishe mishe za kufungua Tawi jipya la Chadema.
0 maoni:
Post a Comment