
Zikiwa
siku zimeshakwisha za kupigiwa kura kwa walioshiriki Tuzo za AFRIMA, Mnyama
T.I.D, amefunguka na kumwambia Diamond Platnumz, kuwa “ leta mzigo Home achana
na Mafala. U got my Back”..................

Wazee
wa mambo wanasema kuwa Mafala ni…? Jaza mwenyewe kichwani, mimi sitangazi Bifu
bwana.
0 maoni:
Post a Comment