
Msanii
wa muziki wa kizazi
kipya nchini, AY, amepost ujumbe wenye maana haswa kwa watu wa kawaida kabisa
tena wale wenye moyo wa uchapa kazi bila yakuvunja moyo ........
“ Ninaamini kuwa
mafanikio hufikiwa na watu wa kawaida wenye ustahilimivu usio wa kawaida - Zig
Ziglar” hayo ndio maneno ya AY kupitia Akaunti yake ya facebook.
0 maoni:
Post a Comment