Ushirikiano
unaoongozwa na Marekani, unasema kuwa umefanya mashambulio makubwa ya ndege
dhidi ya shina la wapiganaji wa Islamic State, katika mji wa Raqqa, wa Syria..........
Msemaji
wa Marekani, alieleza kuwa ndege zilishambulia mara 16, maeneo ya IS, kwenye
moja kati ya operesheni kubwa kabisa ya ndege kufanywa nchini Syria.....kutokaBBC.
0 maoni:
Post a Comment