Mahakama nchini Brazil
imebaini kuwa Rais wa nchi hiyo Dilma Rousseff amekiuka sheria za usimamizi wa
akaunti ya bajeti ya mwakajana.
Serikali ya nchi hiyo
ilishitakiwa kwa tuhuma za kuazima fedha kinyume cha sheria benki kuu kwa lengo
la kuziba upungufu wa kibajeti katika serikali kuu
Kambi ya upinzani
nchini Brazil imesema kuwa hatua hiyo ya mahakama inawasafishia njia ya kuanza
kuchukua hatua za kisheria kumuondoa madarakani Rais wao Rousseff.
Serikali ya Brazil
ilishitakiwa kwa tuhuza za kuazima fedha kinyume cha sheria kutoka benki kuu,na
hivyo kusababisha upungufu wa fedha za uendeshaji serikali kuu.
Hata hivyo serikali ya
Brazil imesema kuwa itakata rufaa kupinga uamuzi huo wa mahakama.
Kutoka BBC
0 maoni:
Post a Comment