MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG

BABU TALE NA KALA PINA, WAMFIKISHA CHIDI BENZ, LIFE AND HOPE...

Babu Tale, Chidi Benz na Kalapina
Msanii wa Rapp nchini Chid Benz, amekubali kuacha matumizi ya Madawa ya kulevya mara baada ya kukutana na Meneja wa Diamond Platnumz na kumtaka amsaidie ili aweze kuacha matumizi mabaya ya madawa ya kulevya.

Msanii huyo ambaye kwa sasa amefikishwa kwenye kituo cha Tiba huko Bagamoyo “life and Hope Rehabilitation Organization.


Ata hivyo msanii huyo amewataka wadau na masela wake wamtembele na kumtia moyo pia wasisahau na kumpelekea Mapochopocho ili aje shavu kama kawaida. 
Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment