Taaifa njema kwa watumiaji wa mtandao wa
Instagram ni kufuatia malekebisho kwenye mtandao huo ni kwenye upande wa video
ambapo kwa mara ya kwanza mtumiaji alikuwa akipost video yenye sekunde 15
lakini leo maboresho yaliyofanywa makubwa ni kwamba mtumiaji wa mtandao huo
atakuwa anaweza kupost video yenye dakika moja tu badala ya sekunde 15.
MWERA AMAZING BLOG

Home / Uncategories / INSTAGRAM IMEBADILIKA SANA, JE UNATAKA KUJUA NI KITU GANI.....? STORI KAMILI NDANI YA LINK YETU
- Blogger Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 maoni:
Post a Comment