MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG

DIAMOND PLATNUM, AMESAINI MKATABA MPYA NA KAMPUNI HII,... SOMA KUJUA ZAIDI.

12445803_1080694425305898_155675473_n

Msanii wa Music nchini Tanzania Diamond Platnumz, amekula savu jingine baada ya Dodacom na DSTV, sasa  amesaini na kampuni ya kutengeneza na kusambaza Tomato, nchini.

 

Msanii huyo alisaini mkataba huo siku ya jana katika Ofisi yake ya huko nyumbani kwake.

 

Mpaka sasa inawezekana ndio msanii pekee kwa Tanzania kuchukua dili kubwa na makampuni makubwaa nchini.

Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment