Taarifa ya msiba kwa wapenzi wa maigizo ya Vichekesho nchini, ni kwamba mmoja kati ya wachekeshaji maarufu nchini, Bwana Mohammed Abdallah, A.K.A “KINYAMBE” Amefariki dunia
,
"Innalilah wainna ilaihi rajiun mbele yake nyuma yetu kazi yake mola haina makosa mola akueke panapo stahili ndugu yetu Amin #kinyambe wasanii wenzangu rafiki zangu dunia na #dini dunia mapito #DUNIAMALIYAMUNGU BINADAMU #PUMZITU (TUPENDANDE TUHESHIMIANE) MUNGU NDIO KILA KITU ........ 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
0 maoni:
Post a Comment