Mshambuliaji wa
Leicester Jamie Vardy ametawazwa mchezaji soka bora wa mwaka na chama cha
waandishi wa kandanda Uingereza.
Mshambuliaji huyo wa
Uingereza alipata 36% ya kura zilizopigwa na wanahabari 290 na kuwashinda
wenzake Riyad Mahrez na N'Golo Kante.
Vardy, 29, amefunga
mabao 22 Ligi ya Premia msimu huu.
Aidha, alivunja rekodi
kwa kufunga mabao kila mechi katika mechi 11 mtawalia.
kutoka BBC Swahili.com
0 maoni:
Post a Comment