Wayne Rooney ameandika historia ya
kuwa mchezaji aliyeichezea timu ya taifa ya England mara nyingi zaidi,
kwa wachezaji wa ndani ya uwanja.
Rekodi hii inaipita ile ya David Beckham ambaye aliichezea timu ya Taifa la England mechi 115.
Mlinda mlango Peter Shilton, ndiye anaishika rekodi ya jumla kwa kuichezea England mara 125.
kutoka BBC Swahili.
0 maoni:
Post a Comment