Mashabiki wamlilia Young Dee baada ya meneja kudai amerudia tena unga - 1/02/2017 Kwa mujibu wa meneja wa Young Dee, Maximillian Rioba, rapper huyo amerejea tena kwenye matumizi ya dawa za kulevya. Young Dee akiwa na meneja wake Max mwanzilishi wa label ya MDB Taarifa hiyo imekuja katika wakati ambao mashabiki wengi wa muziki waliamini kuwa rapper huyo ameachana na matumizi ya unga, kama alivyoahidi mwaka uliopita alipozungumza na waandishi wa habari. KUTOKA BONGO5 Share on Facebook Share on Twitter Share on Google Plus About MWERA AMAZING This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel. RELATED POSTS
0 maoni:
Post a Comment