MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG

Rais mpya wa Ghana kuapishwa leo

Bwana Akufo aliwania pia urais mwaka 2008 na 2012Image copyrightAFP
Image captionBwana Akufo aliwania pia urais mwaka 2008 na 2012
Rais mpya wa Ghana ataapishwa hii leo, katika taifa ambalo limetajwa na wengine kama lenye kiwango bora zaidi cha Demokrasia Barani Afrika.
Nana Akufo-Addo, aliyekuwa wakati mmoja wakili wa haki za kibinadamu, alimshinda kiongozi wa sasa, John Dramani Mahama, katika uchaguzi wa mwezi uliopita.
Karibu viongozi 11 wa mataifa ya Afrika wanatarajiwa kuhudhuria sherehe hiyo, ambako hali ya usalama tayari imeimarishwa.
Baada ya kuapishwa kwake, viongozi wa Afrika watajadiliana jinsi ya kuhakikisha kuwa Rais wa Gambia Yahya Jamme anakubali kuwa alishindwa katika Uchaguzi Mkuu uliopita

Kutoka BBC Swahili.
Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment