Marekanai hautakubali China kuweka
wanajeshi kwenye visiwa ilivyojenga Kusini mwa bahari ya China, waziri
wa ulinzi wa Merekani James Mattis ameonya.
Akiongea katika
mkutano wa kiusalama huko Singapore, Bwana Mattis amesema kwamba hatua
ya Uchina ya kutengeneza visiwa bandia na kuongeza uwepo wake wa
kijeshi katika bahari ya kimataifa unahatarisha amani katika eneo hilo.
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 maoni:
Post a Comment