Diamond funika bovu Tuzo za Kili 2012

Rais Kikwete atoa saramu za rambirambi Yanga

RAIS Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia salamu za rambirambi Mwenyekiti wa klabu ya mpira wa miguu ya Young Africans Sports Club (Yanga), Lyod Nchunga kufuatia kifo cha Mjumbe wake wa Kamati ya Utendaji, wakili Theonist Rutashoborwa, aliyefariki dunia usiku wa kuamkia leo
pole kwa wanayanga tanzania
ReplyDeletepole kwa wanayanga tanzania
ReplyDelete