MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG
PICHA ZA WACHEZAJI WA BARCA WAKIWA KWENYE MECHI AMBAYO WALISHINDA
MABAO MANNE NA KUENDELEA KUWA JU
The Pictures: FC Barcelona 4-0 Getafe CF
Kwa nafasi nyingi sana ambazo FC BARC wanazozipata huwa hawakosei kufanya walichotumba
na Wapenzi wao punde wanapokuwa uwanjani. hizi ni baadhi ya Picha za wachezaji wakiwa
uwanjani. MWERAAMAZING.BOLGSPOT.COM        
inakujari kwa kukupa kitu roho inapenda kwnye nyanja zote








wachezaji wa BARC wakishangilia baada ya kushinda Gori


WEWEEEEEEEEEEEEEE KAZI KWAO sisi yetu mabao tuuuuu


jamani nini tena hizi siyo komfuuuuuuu







UMEMUONA YULE NENDA KALE NAYE SAHANI SAWA KIJANA


HAwa na bahadhi ya mashabiki wa timu ya BARCA wakiwa kwene furahaaaaaaa
ya ushindi wa mabao manne zidi ya timu pinzani,inaposemwa kuwa hii ni TIMU
bora hapo ndipo wanapodhihilisha ubora wao

Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment