MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG
                       JINSI YA KUMFIKISHA MPENZI WAKO

WATU wengi ama hawajui au hawajali ni kitu gani wenza
mwenza wake anataka kufanyiwa au akifanyiwa kitamsisimua  hata kama amechoka sana.

Uchunguzi unaonyesha kuwa Wanaume wengi hasa kutoka nchi za Kiafrika
 hujali zaidi kumaliza hamu zao za mwili na kamwe hawajali kama wenza/Mwenza
 wake yuko tayari au la!.
 Inasemekama baadhi ya Wanaume wa Kiafrika ambao ni wakubwa kiumri (wa zamani), au wale ambao wanathamini sana jadi zao asilia ndani ya Afrika, kitu cha kwanza watakacho kuambia mkiwa chumbani ni “njoo hapa" au "vua nguo basi” na kisha utavamiwa kabla hata wewe mwenyewe hujawa tayari na unalazwa chini kama sio unawekewa uume mbele ya uso wako..halafu watu mnashangaa kuambiwa "mume wangu alinibaka".


Mfano huo unaonyesha ni kwa jinsi gani baadhi ya wanaume wanavyojipendelea(wabinafsi), na mara zote huweka akilini mwao kuwa wanawake/mwanamke ni chombo cha kumridhisha / kumstarehesha/ kumfurahisha na kumliwaza yeye “mwanaume”.
 
 Mwanamke kama mwanadamu pia anahaki ya kuridhishwa, kustareheshwa,
 kufurahishwa na kuliwazwa pia.

Dhana hiyo potofu imepelekea baadhi ya makabila kuendeleza mila za kuwakusanya wasichana ktk umri wa kuvunja ungo (mwali) na kuwafundisha jinsi ya kuwaridhisha mwanaume kimapenzi “ hao wana bahati”.

Lakini kwa wale ambao hawafuati/hawana/hawazijui mila hizo wamekuwa wakifuatilia kwa makini na kuamini kila kinachoonyeshwa kwenye “Video” ailimradi tu kiwe kinahusu jinsi ya kumridhisha mwanaume kimapenzi.
Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

1 maoni: