MKONDO WA NUNGWI WAZUA BARAA TENA
Meri ya habiria inayobeba habiria kati ya Zanzibar na pemba seagari leo
Ilizimika katika ya mkondo wa nungwi majila ya jioni mpaka kufikia mida
Usiku ilikuwa bado haijavutwa na waokoaji.
Mala baada ya serikali kupata taharifa walikwenda na kuanza kuivuta
Kuelekea katika bandari ,
0 maoni:
Post a Comment