JE MAWAZARI WAPYA WATATUFIKISHA?
Serikali ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania
kupitia
Rais J Kikwete ameteuwa kwa mala nyengine Baraza la
Mawaziri kufuatia ufisadi uliofanywa na Baadhi ya
Mawaziri katika
Wizara zao.
Hivyo basi Rais kwa kipindi hichi kilicho baki ameamua
Kuwapa nafasi wakina mama na kusistiza kuwa hii ni
Zamu ya wakinamama.
Je walio fisadi nchi watachukuliwa adhabu gainWanahabari wakati wa kutangazwa baraza la | mawazir |
Rais kikwete akitangaza Baraza jipya Ikulu |
0 maoni:
Post a Comment