Mapenzi yanahitaji ‘mbolea, maji’
Ili
mti au ua likuwe na kustawi vizuri, lazima lipate
mbolea na maji ya kutosha.
Vivyo hivyo kwenye mapenzi.
Mapenzi yanahitaji “mbolea na kumwagiwa maji ,
hasa
wakati wa kiangazi.”
Mbolea na maji
yanayohitajika kwenye mapenzi t
ofauti na mbolea na maji yanayohitajika kwenye
miti na maua. Ili upendo wa wapendanao ustawi vizuri
unahitaji
kuheshimiana, kujali, kuthaminiana, kusaidiana,
kusameheana na mambo mengine
mengi likiwemo la
kusomana na kujuana tabia.
Hili la kusomana na kujuana
tabia za kimapenzi
ndilo ninalotaka kulizungumzia kwenye makala hii.
Kwa mfano kama mkeo hapendi kukuona unafuga
ndevu basi hakuna
umuhimu wa kuzifuga, inawezekana
mwenzio anapenda kupapasa kidevu kilichokuwa
na
vishina vya ndevu.
Vishina vya ndevu huongeza
radha kwenye mapenzi.
Kuna wanawake wengine husisimka wanapoguswa na
vishina
vya ndevu. Hasa wanapoguswa kwenye maeneo
yao ya
msisimko kama kifuani, mapajani, kiuoni,
mashavuni
na sehemu nyingine. Lakini kama mkeo anapenda ufuge
ndevu ziache
zikue.
Kama
mumeo anapenda kukuona ukibaki na nywele
zako za asili, nywele za bandia hazina
nafasi
kwako. Fanya kile mwenzio anachokipenda, kwa kuwa
hakina madhara kwako.
0 maoni:
Post a Comment