ANNAN KUBWAGA MANYANGA SYRIA
Bwana Koffi Annan amesema kuwa harakati za kijeshi kutoka kwa
wapiganaji wa upinzani pia zimechangia katika kufanya majukumu
yake kuwa magumu na pia mgawanyiko uliokuwepo
katika baraza la
usalama
la umoja wa mataifa .
Miezi mitano ilyopita Koffi Annan alikabidhiwa
jukumu kubwa la kupatanisha
utawala
wa Rais wa Syria Bashar Al Asad na waasi
wa upinzani wenye nia
ya
kumngoa madarakani.
Lakini leo
inaelekea maji yamezidi unga na Bwana Annan ametangaza kujihuzulu.
0 maoni:
Post a Comment