MKUU WA OLYMPIK MOROCCO KUKAMATWA
Jaji mmoja nchini Ufaransa amewaomba polisi wa
uingereza
Wamkamate kiongozi wa ujumbe wa Olimpik wa
morocco ambaye
Kwa sasa yuko jijini London.
Kiongozi huyo wa olympik jenerali Housni
Benslimane , anadaiwa
Kuhusika na kutoweka kwa kiongozi wa upinzani
wa morocco
Bwana Mehdi Ben Barka.
Mwana siasa huyo wa upinzani wa morocco
walitoweka mwaka
1965 akiwa ufaransa.
0 maoni:
Post a Comment