SOMALIA WAPITISHA WAPITISHA KATIBA MPYA
Viongozi wa Somalia
wanaokutana Mogadishu kwa wingi wameipitisha katiba mpya ya nchi hiyo hivyo kufungua njia kwa serikali
mpya kuchaguliwa mwezi huu.
Kura hiyo imepugwa
muda mfupi baada ya watu wawili kujilipua wenyewe nje ya jingo la mkutano.
Chini y mpango
ulioungw a mkono na umoja wa mataifa
bunge jipya litachagua kiongozi mpya wa Somalia agosti 20.
Somalia imekuwa
katika vita na kundi la al-shabab kwa miongo miwili na huku kundi hilo
likidhibiti maeneo mengi ya nchi.
Serikali ya ya
mwisho iliondolewa madarakani mwaka 1991.
0 maoni:
Post a Comment