MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG

Mashirika ya umma yametakiwa kushirikiana na sekta binafsi kwa

 lengo la kuondoa vikwazo mbalimbali vinavyoikabili sekta hiyo…

Hayo yamesemwa jijini dare s salaam na waziri wa viwanda biashara

 na masoko  dr abdallah kigoda wakati wa afra ya sekta hiyo tpsf

iliyowakutanisha wadau mbalimbali wa sekta hiyo.

Dr kigoda amesema kuwa ushirikiano huo utasaidia kwa kiasi

 kikubwa kuleta maendeleo katika Nyanja mbalimbali za kiuchumi.
Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment