WAASI WALAANIWA KWA MAUAJI SYRIA
Wapiganaji wa kundi la waasi nchini Syria wamelaaniwa
vikali
baada ya picha moja ya video iliyowekwa kwenye
mtandao
wa intanet kuwaonyesha wakiwaua kwa kuwapiga
wanaume kadhaa walioshtumiwa kuwa wanamgambo
wanaoiunga mkono serikali.
Shirika la kutetea haki za binadamu, human
rights watch,
picha
hiyo ambapo wanaume hao wanawekwa ukutani na
kasha kumiminiwa
risasi, huenda inaonesha vitendo vya
uhalifu wa kivita.
Picha za kutisha zimewaonesha waasi wenye
silaha wakiwaua
wakatili
watu wanaoaminika kuiunga mkono serikali ya rais assasd
katika mji wa Aleppo.
0 maoni:
Post a Comment