WAAFRIAKA WATAKIWA KUJENGA DEMOKRASI
Waziri wa mambo ya nje wa marekani Hillary Clinton
amezitaka
serikali za Afrika kuimarisha democrasia huku
akisifia maendereo
ya
kiuchumi yaliyofikiwa barani humo,
Akizungumza katika chuo kikuu cha Senegal mjini
Darkar,
Bi Clinton
amesema kumekuwepo na matukio ya kuogopesha barani humo,
ikiwa ni pamoja na vitisho vya wapiganaji wa
kiislam katika
eneo la
sahel na kuongezeka kwa baashara ya usafirishaji wa
dawa za
kulevya nchini Guinea Bissau.
0 maoni:
Post a Comment