MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG

TIRIRIKA MAWE
Tiririkaaaaaaaaaaaaa mwanaketu, Natumai uko pouwa
Msomaji wangu wa Tiririka mawe katika Blog hii,
Leo tumemuangalia DADA yetu ambaye alitikisa jiji
Kwa mambo yake pia uchezaji wake, watu wengine
 Walimuita kiuno bila mfupa, laikini jina lake la usanii ni
RAY C.

WADAU wa bongo fleva wamesikitishwa na hali haliyonayo
 mwanamuzki huyo kwa sasa, ata hivyo walikuwa na haya ya
kusema.
.........................................................................................
Naitwa . MARIJANI wa MWENGE.
Kuna mengi sana RAY C ananifurahisha kuanzia nyimbo zake
Zote za ukweli na haswaa kiuno chake like hakina mfupa namkubali
Sana , ila ameniboa tu kwa kutumia madawa ya kulevya, yani siyo
Fresh kwa mrembo kama yeye ni bora atupie kitu cha A town yani
Na yale macho is so good for her, pia nawapa Hi majita wangu
 …………………………………………………..
RAY C nampenda pia napenda kazi zake kiukweli hakuna ninachoboreka kwake ila namuombea mungu amponye na maradhi
Yanayomsumbua arudi kutuburudisha .
Its me EDITH MKWAMA wa MBEZI
 ……………………………………
Naitwa TRAVELLER.
Off course RAY C, ni msanii mzuri na ngoma zake watu wanazikubali
Lakini amekosea sana kujiingiza kwenye matumizi ya dawa za kulevya
Coz inaweza kuua kipaji chake, but kwa kuwa kaamua kuacha basi
Tumuombee mungu arudi katika hali yake ya kawaida.
 ……………………………………………………
Naitwa XTRA,
RAY C ananikosha sana na kunengua kiuno vizuri sana ila niliposikia
Anajiusisha na madawa ya kulevya aliniboa sana.
 ………………………………………..
Naitwa BETRAM a.k.a BABUU wa ILALA.
RAY C, she is hot na anajua sana muziki so mimi ni mmoja
Wa shabiki zake lakini jambo moko tu linanifanya nimuone
Hana mana ni utumiaji wa madawa kwa motto mzuri kama
Yule kiukweli amepotea vibayaaaaaaaaaaaaaaaa.
………………………………………
Kwa mtazamo ni kwamba hakuna binadam mkamirifu hapa
Dunian, so kwa pamoja tumuombee kwa mungu.


Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment