TIRIRIKA MAWE
HABARI ya wakati huu, leo katika TIRIRIKA MAWE
Wabongo wametiririka kuhusu ALLY KIBA mototo wa
ILALA jijini DSM pia ni mwenyeji wa Kigoma, Kiba
Amepata tunzo nyingi kupitia muziki wa Bongo fleva
Lakini kama wasemavyo wakubwa kuwa hakuna mtu
Mkamilifu duniani. Hivyo basi wabongo wametiririka k
Kuusu ALLY KIBA.
Naitwa RAMSO wa Yombo,
Kiba ni mwanamuziki mzuri sana hususani
anavyowakilisha
Nchi yetu kimataifa ,kwa upande wangu KIBA hakuwai kuniboa
Ila nampenda kutokana na tungo zake jinsi zilivyo na
ujumbe.
………………………………………………..
Naitwa DICKSON WINS.
ALIK K, ananiboa coz hajui kitu anachokifanya katika
Muziki wake, ni hayoooooo tu mzazi.
…………………………………..
Naitwa WEST,
Anachoniboa KIBA a.k.a SINGLE BOY amenifurahisha
Sana kwenye Albam yake ya Sindelela kama sikosei
Pia nyimbo ya mak munga hipo ndani ya albam hii,
Lakini ananiboa kwa kujitoa G Record na kufanya
Kazi na maproducer
michwara kama LAMAR,
Kiba amepotea sijui kama atapata show kwa wimbo
Huu mpya,
…………………………………………
Naitwa SAID wa kilakala,
ALLY KIBA ni mmoja ya msanii wa R&B mwenye
Mafanikio makubwa mpaka kufanya kolabo na R KELLY
Hayo ni mafanikio makubwa pia anaitangaza nchi yetu
Vizuri,
![]() |
| ALLY KIBA kwenye pozz |





0 maoni:
Post a Comment