TIRIRIKA MAWE
Msani wa filam na
muimbaji wa muziki Tanzania al
Maharufu kama sharo
milionea amepoteza maisha
Mara baada ya
kupata ajari ya gari, watanzania wameonekana
Wakiwa na majonzi
kwa kutokea kwa kifo cha sharo hivyo
Walikuwa na
machache yakusema kuusiana na tukio hilo
……………………………
Ni muda wa kuwa
kimya na kuwa na udhuni kwa kuondokewa
Na kio chetu, alikuwa
msani makini pia ni mfano wa kuigwa kwa
Jamii, alikuwa
nyota yenye kung’a lakini leo ametuachia huzuni
R.I.P SHARO
MILIONEA, tutakukumbuka daima.
…………………………………………..
Naitwa ABA 1,
Dah kiukweli
inasikitisha kiukweli lakini kawaida, watu tunapaswa
Tujifunze kufanya
ibada hicho ndicho kitu cha msingi kwa sababu
Kifo kipo any tme
ni hayo tu.
…………………………………………..
Naitwa DICKSON,
Hakuna cha kusema
sana ila mungu ametoa na mungu
Ametwa. R.I.P SHARO
MILIONEA.
Naitwa XTRA.
Nilimpenda kwa
miondoko yake ya kisharobaro ila
Mungu amempenda
zaidi , kazi ya mungu haina makosa
Mungu ailaze Roho
yake pema peponi, amin.
……………………………………………
Naitwa EDITH wa
DSJ.
Usinikumbushe uchungu
kwa sababu ninampenda sana
Hasa wimbo wake wa
sondela alivyoact kama Shilile, dah
Ila ndiyo kazi ya
mungu haina makosa cha muhimu ni kumuombea
Tu, na tulio baki
tumrudie mungu kwa sababu hatujui siku wala saa
Nitakumbuka sana
sharo na misemo yake ya aaaaah ooooooh mamma.
………………………………………………….
Naitwa, MWAJUMA KENNEDY
wa MAKUMBUSHO.
Kifo cha SHARO kimenigusa
sana, sharo alikuwa zaidi ya
Msanii mchekeshaji,
muimbaji pia mwanamatangazo hakika
Kifo chake ni pigo
kubwa sana.
…………………………………………….
Kila mmoja alikuwa
na lake juu ya sharo milionea, watu
Walikuwa wakionge
kwa uchungu lakini haya yote ni
Kazi ya mungu, mweraamazing.blogspot.com inawapa
Pole watanzania
wote na familia ya sharo milionea, tulimpenda
Lakini mungu
alimpenda zaidi R.I.P SHARO MILIONEA.



0 maoni:
Post a Comment