MAJAJI WAMPINGA RAIS MURSI
Majaji wa mahaka ya rufaa
nchini Misri wanajiandaa kususia kazi na kuunga mkono waandamanaji dhidi ya
rais wa misri Mohammed Morsi kujipa mamlaka zaidi.
![]() |
| Rais mursi. |
Sheria ya kumapaka mamlaka zaidi rais Mursi ilipitishwa
siku ya Alhamisi wiki jana. Sheria hiyo inampa mamlaka rais kuchukua hatua
zozote kulinda mapinduzi na kusema kuwa hakuna mahakama yoyote inaweza kuamua
vinginevyo.
![]() |
| waandamanaji wakitawanyishwa na polisi |
Polisi wamefyatua mabomu ya kutoa machozi kuwatawanya waandamanaji waliopiga kambi kwenye medani ya Tahrir kupinga uamuzi wa rais Morsi kujitangazia madaraka makubwa.


0 maoni:
Post a Comment