UN
YASAIDIA MALI
Katibu Mkuu wa Umoja wa mataifa, Ban
Ki-moon ameunga mkono mapendekezo ya Baraza la usalama la umoja wa Mataifa
kuidhinisha vikosi vya usalama vya kulinda amani vya AU vipelekwe Mali kukabiliana
na wapiganaji wa kiisilamu Kaskazini mwa Mali.
![]() |
| Waasi wa nchini Mali |
Hata hivyo ilikataa kutoa ufadhili
wa Umoja wa Matifa katika shughuli hiyo.
Alionya kuwa kuingiliwa kijeshi katika
eneo hilo kutasababisha hatari kubwa za kibinadamu na akataka kuwe na mipango
ya kutuliza hali hiyo.
Wanadiplomasia wanasema kuwa vikosi
hivyo vitatumia nguvu kupita kiasi ilihali vinatakiwa tu kutoa huduma za
kusitisha vita kwa njia ya amani.
Hata hivyo bwana Bana hakutoa msaada
wa kifedha na ksuema kuwa mataifa ya Afrika yanahitaji maswali kuhusu jeshi
hilo litakavyoendesha kazi zake.

0 maoni:
Post a Comment