Mashabiki wa muziki wa kizazi kipya A.K.A Bongo
Fleva,
Wamemfungukia msani wa kutoka pande za Ilala CHID
BENZ
Na kila mmoja halikuwa na mengi yakusema.
Naitwa JACOB MBUYA:
CHID BENZ hakujipanga wala kujianda kuwa nwanamuziki
Ila ni msanii mzuri coz anajua kutunga..
……………………………………
Naitwa BETRAM A.K.A BABUU:
CHID BENZ
namkubali but sijapenda kujitoboa pua
Lakini samaani kaka, kingine kwa sasa hafanyi mziki
Kwaajiri ya mashabiki wake pia hajui kuwa tunataka
nini.
…………………………………………
Naitwa MSAFIRI wa DSJ:
CHID ameniboa kutoga pua , but kitu kizuri kutoka
Kwake ni nyimbo zake.
…………………………………….
Naitwa WEST WA KATUNDU.
CHID BENZ anachoniboa mimi ni kutoboa [kutoga] pua
Yake , hakuna kinachonifyrahisha zaidi ya kuniboa
tu.
………………………………………..
Naitwa KIDO MGAMBO.
CHID BENZ ametoboa PUA kama [ tusi] anaiga mambo
Ambayo hayajui.

0 maoni:
Post a Comment