Habari za wakati huu mpenzi wa TIRIRIKA MAWE
Leo wabongo kutoka maeneo mbali mbali wamefunguka
Kuusu dada yetu WEMA SEPETU. Unataka kujua nini
Walicho kitiririka.
Naitwa DOROTHY CYPRIAN”
Nampenda sana kwa sababu ni msanii bora wa kike
Hapa nchini Tanzania, anajua kuva uhusika, shule
Hipo kichwani, huwa hakurupuki kwenye mambo
Yake , upande wa mabaya wema yuko kawaida
Mengine yanayoandikwa ni kwaajiri ya kuuza
Magazeti tu, pia hata hao wanaozion tabia za
Wema sepetu kuwa ni mbaya , za kwao zimeoza
Kabisaaaaaaaaaaa, huku mitaani watu wanatabia
Mbaya zaidi ya WEMA ambazo hatujawai kuziona
Bali tunazisoma tu kwenye magazeti, wema uko
juuuuuuuuuuu.
……………………………………………..
Naitwa WEST WA KATUNDU”
Kikubwa nampena
WEMA kama binadam wa kawaida yu
Pia napenda jinsi halivyo ni motto mzuri sana .
………………………………………………
Naitwa GLORY”
Nampenda the way anavyo cheza kwenye filam zake,
Lakini ananiboa kwa halivyojichubua.
……………………………………………
Naitwa EDITH MKWAMA”
Nampenda wema
coz ni mzuri kiumbo, pia ni muigizaji
Anayeukonga mtima wangu sichoki kumtazama, lakini
Ananiboa na scandal zake tu ambazo zinashusha hadhi
Yake .
…………………………………………..
Naitwa KIDO MGAMBO”
WEMA SEPETU ananiboa na ukicheche wake katembea
Na wenzake wengi mno , inaboa kusikia kwenye media
Mambo yake mabaya tu kila siku , ila ni mzuri kwenye
Sanaa yake.
…………………………………………………
WEMA , she is cute anajua kuvaa uhusika na
kinachonifanya
Nimchukie ni kujichubua mpaka kupoteza ule uzuri
wake
Aliokuwa nao before, its me BETRAM A.K.A BABUU.
……………………………………………………



0 maoni:
Post a Comment