TIRIRIKA MAWE
Habari za wakati huu mdau wangu wa
TIRIRIKA MAWE, leo tunaye kaka yetu
Diamond anayesababisha mambo makubwa
Kwenye muziki wa BONGO FLEVA ingawa
Mwanadam hajatimia katika maisha yake hivyo
Basi wabongo wametoa yaliyo jificha miyohoni
mwaaaaaaaaao.
Naitwa RENA”
Nampenda DIAMOND akiwa anafanyiwa
Interview vile anavyojibu maswali.
………………………………….
Naitwa RAMADHAM wa Yombo kilakala.
Nampenda DIMAMOND kwa sababu anajua
Kupanga mashairi katika nyimbo zake, pia
Jinsi anavyopangilia mavazi yake katika
Shows zake na kwenye video zake.
Nampenda pia coz anajua nini anafany kwenye
Kazi yake , dahhh Diamond ni msanii mzuri sana
…………………………………….
Naitwa TRAVELLER wa Ilala,
Diamond ananiboa kwa scndle za kucopy majina
Hii ni mara ya 3 , mara yakwanza alikuwa anajiita
Rais wa wasafi, mara mnyama tena hii kubwa kuliko
Ni kucopy beat na idea za wasanii wenzake, lakini
Ni mkali kimtindo.
…………………………………..
Naitwa BETRAM,
DDIAMOND, kaka anafanya vizuri lakini anauza
Sura sana mpaka anajisahau, pia anaboa, hi
Kwa wana wote, mia mzaziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii


0 maoni:
Post a Comment