MAN U USO KWA USO NA REAL MADRID .
Kocha wa Manchester United Sir Alex
Ferguson anaamini kuwa mechi yao dhidi ya Real Madrid katika raundi ya pili ya
michuano ya kuwania kombe la klabu bingwa barani Ulaya, ndiyo mechi kubwa na
ngumu zaidi.
Timu hizo mbili
hazijakutana tangu mwaka wa 2003 wakati zilipopepetana katika robo fainali ya
michuano hiyo mechi ambayo Real Madrid ilishinda kwa magoli 6-5.

0 maoni:
Post a Comment