BALOTELLI KUFUTILIA MBALI UAMUZI WAKE
Kocha wa Manchester City Roberto
Mancini, amesema yuko tayari kuumpa mshambulizi wake Mario Balotelli nafasi
nyingine, ikiwa ataonyesha kuwa anahitaji.
Mapema wiki hii Balotelli, alifutilia mbali
uamuzi wake wa kukataa rufaa dhidi ya uamuzi wa klabu hiyo wa kumpiga faini ya
mshahara wake wa wiki mbili, kwa kukosa mechi kumi na moja msimu uliopita

0 maoni:
Post a Comment