WATU 39 WAUAWA TANA
RIVER
Takriban watu 39 wameuawa na wengi
kujeruhiwa katika mapigano yaliyozuka upya katika eneo la Tana River, nchini Kenya baada ya
wavamizi wasiojulikana kushambulia kijiji cha Kipao alfajiri ya leo.
Polisi
wamethibitisha hayo na kusema huenda idadi hiyo ikaongezeka.
Shambulio hilo linadaiwa
kutekelezwa na watu kutoka kwa jamii ya Pokomo katika kijiji ch Kipao dhidi ya
watu wa Kabila la Ormo.
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 maoni:
Post a Comment