ADEBAYOR ATAKIWA KUBADILI
UAMUZI
![]() |
| Adebayor akiwa na muamuzi wa mchezo |
Kocha wa Togo Didier Six
amesema atafanya kila juhudi ili kumshawishi mshambulizi wa Tottenham, Emmanuel
Adebayor kuichezea timu ya taifa ya Togo wakati wa michuano ya kombe la
Mataifa bingwa Barani Afrika, mwezi ujao.

0 maoni:
Post a Comment