TAIFA STARS YAWACHAPA SOMALIA
Timu ya Taifa Stars imejinyakulia point 3 muhimu na
Ushindi kabambe wa mabao 7 kwa 0 dhidi ya kikosi cha
Timu ya Somalia katika michuano ya kombe la Challenge.
Mchezo huo ulikuwa wenye mshike shike mkubwa kwa
Upande wa stars kupitia mchezaji wake Ngasa ambaye
ni
Mchezaji wa timu ya simba yenye makazi yake jijini
Dar es salaa
Ambaye aliibuka kuwa nyota wa mchezo huo kwa
kushinda mabao
5 peke ambayo yalipelekea timu ya stars kuibuka kwa
ushindi wa
Mabao 7 kwa 0 .
0 maoni:
Post a Comment