TAFF YAWASHUKURU WATANZANIA
Shilikisho la filam Tanzania [TAFF] limetoa shukrani
kwa watanzania kujitolea
Katika misiba ya wasanii .
Akizungumza na waandishi wa habari Rais wa TAFF
Simon mwakifamba, alisema
Haikuwai tasnia ya filam kupatwa na majanga kama
haya “Tasnia ya filam kwa
Mienzi 18 iliyopita imeyumba baada ya kuondokewa na
wasanii wake kadhaa
Hivyo TAFF
inatoa shukrani kwa waliojitokeza katika kipindi chote cha misiba
Hiyo “ shukrani hizo zilitanguliwa na Duwa kwa ajili
ya wasanii wote waliofariki
Iliyoongozwa na mzee Chilo.
0 maoni:
Post a Comment