FA KUFANYA UTAFITI
Afisa mkuu mtandaji wa Chama
cha wachezaji wa kulipwa wa soka, nchini Uingereza Gordon Taylor, amesema
huenda ikahitajika kujenga ua unaozunguka uwanja ili kuwalinda wachezaji.
Taylor aliyasema hayo baada ya tukio la siku
ya Jumapili, ambapo shabiki mmoja aliingia uwanjani na kumshambulia mchezaji wa
Manchester United, Rio Ferdinand, wakati walipokuwa wakisherehekea bao
lililofungwa na Lionell Messi, dhidi ya mahasimu wao wa Jadi Manchester City
0 maoni:
Post a Comment