MASHABIKI WATAKA KUSIMAMA KATIKA MECHI
Kundi moja la mashabiki wa soka
nchini Uingereza limesema kuwa vilabu kumi na vitatu nchini Uingereza
vimesemekana kuunga mkono, uamuzi wa kuruhusu mashabiki kutizama mechi wakiwa
wamesimama.
![]() |
| MASHABIKI WA SOKA NCHINI UINGEREZA |
Siku ya Jumanne, kundi hilo lilitarajia
lipata uungwaji mkono kutoka kwa wabunge, kuhusu mipango yake ya kuifanyia pendekezo
hilo majaribio wakati wa mechi za ligi kuu ya premier.

0 maoni:
Post a Comment