ASSAD ALAANI WAPINZANI
Rais Bashar Al-Assad wa Syria amelaani
vikali vitendo vinavyofanywa na wapinzani kuwa ni vya kigaidi tena wanaosaidiwa
na mataifa ya nje,
Aliyasema hayo katika hutuba
yake iliyoshangiliwa na wafuasi wake kwenye Jumba la matamasha za opera mjini Damascus , katika hutuba
yake alipendekeza Mkutano wa mapatano utaandika katiba mpya ya nchi hiyo.
0 maoni:
Post a Comment