DROO YA RAUNDI YA 4 YA FA.
Droo ya raundi ya nne ya michuano ya FA
imetangazwa.
Mabingwa
watetezi wa kombe hilo Chelsea imepangiwa kucheza na mshindi wa
mechi kati ya Southend United na Brentford.
Mshindi wa mechi
kati ya West Ham United na Manchester United atachuana na mshindi wa mechi kati
ya West Fulham na Blackpool .
Mabingwa wa wa
ligi kuu ya Premier Manchester City
nayo imeratibiwa kucheza na mshindi wa mechi kati ya
Crystal Palace
na Stoke City .
Baada ya kutoka
sare ya kufungana magoli mawili kwa mawili hii leo mshindi wa raindi ya pili
kati ya Swansea na Arsenal atapambana na mshindi
wa mechi kati ya Brighton na Hove Albion .
Mechi zingine Huddersfield Town
itatoa udhia dhidi ya Leicester, mshindi wa mechi kati ya QPR na West Brom
atacheza na mshindi wa mechi nyingine ya marudio kati ya Sheffield
Wednesday na MK Dons.
Mshindi wa mechi
kati ya Bolton na Sunderland atapepetana na mshindi wa mechi kati ya Cheltenham na Everton
Ratiba ya mechi
zingine za raundi ya nne
Middlesbrough vs
Aldershot Town
Millwall v Aston
Villa
Leeds United au Birmingham City vs Tottenham Hotspur
Oldham Athletic
vs Mansfield Town
au Liverpool
0 maoni:
Post a Comment