CASH MONEY WANADAIWA KUIBA GOMA YA
70s PRODUCER.
Studio inayomilikiwa na Cash Money inadaiwa miondoko ya
70s
katika moja ya nyimbo ya msanii Bow Wow.
Mmoja
ya wasanii wa kundi hilo ameishtaki Rekodi ya Cash
Money kwa kutumia moja kati ya nyimbo zao, ambayo ni
Love
Gonnna
Pack up, na walk out,
bila ya kuomba, nyimbo ya LOVE
GONNA PACK UP imerekodiwa mwaka 1972, na ilikuwa
Inafanya vizuri katika chati mbali mbali duniani…..pia
Poindexter,
Amesema kuwa siyo Cash money au Bow Wow wote
wanatakiwa
Kuomba ruksa kutoka kwa kundi hilo.


0 maoni:
Post a Comment